Jamaa mmoja karudi nyumbani kwake jioni amekasirika kweli.
Mke wake akamuuliza "Nini mbaya mume wangu mbona umekunja sura hivyo?"
Jamaa akajibu "Ni huyu mpuuzi Landlord wetu...kasema ati ashalala na wanawake wote kwa hii nyumba isipokuwa mmoja tu!"
Mke "Aaa huyo lazima itakuwa mke wa yule jirani yetu Omari...mwanamke ni kisirani huyo!!"
Tafakari yaliyofuata
No comments:
Post a Comment