Thursday, June 21, 2012

WALEVI NAO.....

Walevi wa 2, walikua wakiangua embe mtini bila mafanikio..


Mlevi mmoja akamwambia mwenzako


'Embe bichi nini,mawe yote lakin halianguk''


Mlevi wa pili akamjibu 


'ngoja nipande mtini nikalibonyeze'


alivyopanda akalibonyeza, akamwambia mwenzako mbona limeiva..


Mlevi akashuka mtini wakawa wanaendelea kuliangua kwa mawe.....!

No comments:

Post a Comment