Siku moja imamu kawambia watu msikitini "Anaeteswa na mkewe kati yenu asimame"
Watu wote wakasimama,isipokuwa jamaa mmoja tu kabaki amekaa.
Imamu akamwambia "Mashallah wewe huteswi na mkeo"
Yule jamaa akajibu
"Kanivunja miguu siwezi hata kusimama!"
No comments:
Post a Comment