Life is Short.........ENJOY
Wednesday, June 27, 2012
NANI ALAUMIWE??
MZAZI:"Nikiwa na
nazi 5 nikikupa 3
nitabaki na ngapi?"
CHALII:"Mi
sijui"
MZAZI:"Aaah...kwanini hujui hesabu rahisi namna hii."
CHALII:"Shuleni huwa tunafundishwa hesabu za machungwa pekee"...
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment