VITUKO USWAHILINI
MTOTO:"Oya baba niletee iyo glass hapo"
BABA:"We mtoto... acha ujinga,njoo uchukue mwenyewe!!"
MTOTO:"Si uniletee tu uko karibu nayo!"
BABA:"Shenzi wafikiria mi ni mtoto mwenzio! Nitakuja kukupiga makofi!!"
MTOTO:"Ukija kunipiga makofi usisahau kuja na hio glass"
No comments:
Post a Comment