#KubaliAuKataa Kuna wakati ulishatamani kupaa kama ndege au kutembea juu ya maji mwanawane! Mimi nakubali.
#KubaliAuKataa Samtaimzi unaamka asubuhi basi tu imebidi ila kazi zinachosha! Rudi kulala ile kwako!
#KubaliAuKataa Hizi nyumba za neshino hauzingi huwa unawaza sana hivi wadosi wamekata tiketi ya kuwa wapangaji foreva ama ni gani?
KwaHisani ya Masanjawani
No comments:
Post a Comment