Life is Short.........ENJOY
Tuesday, June 5, 2012
Maswali Ya Kijinga Na Majibu Yake
Swali: Hivi Giza Limeingia?
Jibu:Hapana, wamezima Jua.
Swali: Wewe ndo wa mwisho kwenye line?
Jibu:Hapana, mimi ndo wa kwanza, tumesimama kinyumenyume.
Swali: Unakula?
Jibu: Hapana, nabusu kijiko.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment