porini hakuishi vituko , siku moja panya ktk matembezi yake kwa bahati mbaya alimkanyaga nyoka,
mdahalo ukawe hivi
NYOKA: oya dogo mbona tunakanyagana?
PANYA: SORR BRO,BAHATI MBAYA.
NYOKA: sorry kitu gani tazama mtoto mdogo midevu kibao.
PANYA: AAAH! Nenda zako huko, kubwa zima hadi leo linatambaa.
No comments:
Post a Comment