BINTI:"Hi Baba"
BABA:"Sema binti yangu?"
BINTI:"Nimempenda huyu watchmen wa hapa nyumbani na nimeamua kutoroka nikaolewe nae"
BABA:"Pumbavu kweli wewe unadhani nitashtuka? Safari njema na nisione sura yako tena hapa!"
BINTI:"Samahani baba.....Nilikuwa nakusomea barua aliyoacha mama"
BABA:"Umesema..!!"
No comments:
Post a Comment