DEM:"Naomba unisaidie kupata mchumba."
MTAALAM:"Unataka mume wa aina gani?"
DEM:"Nataka awe mchangamfu,awe anaweza kunihadithia stori tamtamu siku nzima,awe na uwezo wa kuniliwaza na kunibembeleza,asitoke ndani na asiwe mbishi."
MTAALAM:"Olewa na redio!!"
No comments:
Post a Comment