UONGO MWINGINE HATA HAUFAI....
Jamaa: Unasoma?
Demu: Hapana sisomi, vipi wewe unasoma?
Jamaa: Ndo nipo kidato cha nne Jangwani.
Demu: Jamani hiyo si shule ya wasichana?
Jamaa: Aaah sory nimechanganya nipo Kisutu
Demu: Mwee mbona nayo ya wasichana...
Jamaa: haaah aaah nilikuwa nakutania tu nachukua masters IFM.
Demu: Mh ina maana IFM imeanza kutoa masters? acha uongo wako wewe...!!
Jamaa: Ishia zako demu mwenyewe hulipi wala nini...unaniuliza maswali kama tupo uhamiaji?
KWA TAHARIFA YAKO NACHUKUA DEGREE YA UDAKTARI CBE
No comments:
Post a Comment