Sunday, June 3, 2012

INGEKUA WEWE....

Jamaa mmoja ktk mishemishe zake akashikwa na kiu cha maji. 


Akagonga nyumba moja ili aombe maji. Mara akatoka mtoto akamletea maziwa. 


Baada ya kunywa akasema aongezwe mtoto. 


Akamuongeza jamaa akasema mbona mnayatoa kwa wingi. 


Dogo akajibu kwa sababu yameingia panya ,humo ndani hawayataki. 


Mchizi akabaki na butwa na glasi akaiangusha chini. 


Dogo akapiga kelele na kumuita mama. 


"Mama, Glasi ya bibi ya kutemea mate kaivunja!!!"


kwahisani ya mwanawane Masanja Mukandamizaji....

No comments:

Post a Comment