Kibaka kaingia nyumba flani kaiba tv
akaanza mbio uku kajitwisha tv
kumbe mle alipoiba kuna chizi likaanza kumfukuza,
kibaka kila akikata kona yule chizi anae tu
wamekimbizana sana
Ikabidi kibaka asalimu amiri akasimama, mara yule chizi
naye huyu hapa mbele ya kibaka
Anamwambia
"Ulikua umesahau remote hii hapa chukua....."
No comments:
Post a Comment