Baba anamuuliza mwanae:
"He! Leo imekauaje?? alfajiri yote hii, mbona unawahi shuleni?"
MTOTO: mwalimu wa bagia leo anakuja asubuhi nikichelewa nitakuta zimeisha bure.
BABA: pumbafu si kuwahi masomo bali bagia?
MTOTO: ndio si wanasema elimu haina mwisho? Lakini bagia zinaishaga!
BABA: akaguna mh, hapa kazi ipö.
(sijui kama wanaelewanaga na mwalimu wake..)
No comments:
Post a Comment