Masanja alikua anaaandika barua na penmdeni yake alikuwepo Joti.
sasa wakati akiendelea na zoezi la kuandika Joti akawa anamtizama huku akimshangaa mwishowe ikabidi amuulize.
Joti: " aisee Masanja, vipi mana nimekuona mda mrefu unaandika apo na unaandika taratiiiibu saaana herufi kwa herufi na sio kawaida yako??"
Masanja: "wajua namuandikia mtoto wangu wa miaka 6 na bado hawezi kusoma haraka haraka"
No comments:
Post a Comment