Wednesday, July 25, 2012

BABU NA MJUKUU WAKE......

Babu na mjukuu.

BABU: We Joti ingia ndani ujifiche mwalimu wako anapita... na leo hujaenda shule..!!!


MJUKUU:Mimi tena nkajifiche??!!


Kajifiche wewe mana nimeomba ruhusa kuwa umekufa nimekuja mcbani..



BABU HOIIII...

No comments:

Post a Comment