Kanisani leo wakati wa ibada binti wa pastor,mwenye umri wa miaka 15 alisimama akaanza kutoa ushuhuda,akasema
"Halleluyah....Bwana asifiwe,nina furaha sana siku ya leo kwani mungu kanisaidia,nilikuwa na ugonjwa wa kutokwa na damu sehemu zangu za siri kila mwezi uliokuwa ukinipa maumivu sana.Lakini tangu nianze kuenda kwa maombi na mafundisho ya neno la mungu nyumbani kwa mwalimu wa sunday school huu ni mwezi wa
tatu sasa ugonjwa huo umeisha...pigeni makofi!!""
.
.
Watu Mmmh...!
No comments:
Post a Comment