Sunday, July 22, 2012

SWAUMU NOMA

Huyu jamaa alidakwa akipiga sala siku hiyo baada ya swaumu kumgonga ile mbaya..... cha ajabu ni kwamba huko nyumbani hawapiki kabisa mchana na hajapewa hela ya kula kwahiyo inambidi asile siku nzima ili afunge na binafsi yake sifa za kijinga anataka aonekane kafunga.. na akawa hana jinsi ndio akasikika akipiga hii sala


"eeeh, Mungu naomba huu mwezi wa ramadhani uwe kama ilivyo mashindano ya Kombe la dunia..yaani uwe unafanyika kila baada ya miaka minne (4) na kila ikifanyika iwe katika nchi tofauti""

No comments:

Post a Comment