MAFUNDI NAO WANAPATA TABU
Jamaa kapeleka simu yake kwa fundi....
jamaa: ebana simu yangu kimeo hata sijui ni nini..!
Fundi: vp inafanyeje mpaka useme kimeo??
Jamaa: aaaah, yaani siku nzima yani inaweza pita hata haiiti bwana yani sipigiwi..kabisa.
(fundi akatest ringtone na kukuta ziko safi)
Fundi: sasa ndugu yangu kama hakuna aliyekupigia itaitaje?
Jamaa: we nawe vipi hii kimeo nakwambia mbona ya Masanjawani inaita tena sana kila baada ya mda anapigiwa..iweje hii isiwe kama ile??
Fundi na watu wengine hoi......
No comments:
Post a Comment