Simu Iliita...
MUME: Hello baby!
MKE: Hello Sweetie!
MUME: Leo nitachelewa kurudi...
MKE: Nishajua uko kwa vijanamke vyako, wewe ni malaya sana.
Sijui ilikuaje nilikukubali, nakuchukia kama nini, sikupendi.
MUME: Nipo BENKI hapa.
MKE: Haaaaah, ulijuaje kama sina hela baby... Nitolee laki 1, nakupenda sana, nakuandalia maji ya kuoga Sweetie... Pls usisahau kuniletea na chipsi kuku, Mwaaaah!
MUME: Ni BENKI ya Kuchangia Damu
MKE: Nyooooooooh!
No comments:
Post a Comment