Tuesday, July 31, 2012

VICHAA KIBOKO MUONE HUYU

Katika hospitali ya vichaa muuguzi alikuwa akiongea na kichaa.

Muuguzi: unaandika nini?


Kichaa: Barua


Muuguzi: unamuandikia nani?


Kichaa: najiandikia mwenyewe


Muuguzi: umeandikaje?


Kichaa: sasa nitajuaje wakati barua bado haijanifikia?


No comments:

Post a Comment