Tuesday, July 24, 2012

MAMBO YA KIPAPAA....


Mwanawane hebu jimuvuzishe macho na iyo suruali yake..na mahali alipoivalia c mchezo…mpaka ikawa haina haja ya kuvaa shati tena mana kitu imefunika fullu!!!

Papaa Kasule






Mnao vaa kipaa huyu jamaa toka Uganda ni zaidi.
Mwanamuziki wa bendi ya Afrigo toka Uganda, Said Kasule akiwa jukwaani na kivazi cha aina yake wakati wakisindikiza uzinduzi wa Albam ya Kicheko ya Msondo Ngoma Music.

No comments:

Post a Comment