Ngriiii ngriiii ngriiiiii!
Haloooo hapo ni Makumbusho ya Taifa?
OFISI:Ndio tukusaidie nini?
Kidanu:"Ok, naomba mnikumbushe mwaka juzi saa yangu niliipoteza wapi?"
OFISI:"Pumbavu hiyo siyo kazi yetu"
Kidanu:Sasa makumbusho mnakumbusha nini?"
OFISI:Tunahifadhi mambo ya zamani.
Kidanu :"Ahaa.....kumbe saa yangu mtakuwa nayo!" Nakuja kuichukua sasa hivi."
No comments:
Post a Comment