father ; nilete soda we mtoto
son ; pepsi or coka?
father ; pepsi
son ; ya kopo ya chupa?
father ; ya kopo
son ; ya baridi or yamoto?
father ; hee! we mtoto mbna maswali mengi....basi bwana ni letee maji tu
son ; ya hapa hom or nika nunue kwa shop?
father ; ya hapa hapa
son ; ya baridi ya moto?
father ; ya baridi
son ; kwenye glasi or kikombe?
father ; ntakupiga na ufagio we mtoto
son ; ufagio wa chelewa or wa mti?
father ; ntaku uwa we mtoto
son ; uta uwaje utanichoma kisu or utanipiga na bastola?
father ; ntakupiga na bastola
son ; kichwani or tumboni?
father ; kichwani...NIMEKWAMBIA TOKA NJE
son ; saiv or baadae kidogo?
father ; sasa ivi
son ; maji hutaki?
No comments:
Post a Comment