WALEVI VITUKO
Riverside bar (dar) kulikuwa na kikao cha harusi
kikiendelea huku wahusika wakionekana wako makini sana.
Pembeni kidogo alikaa
mlevi mmoja akiongea na kucheka kwa sauti kubwa mpaka akawa anawakera wenye kikao mana hawasikilizani.
mwenyekiti wa kikao hicho akaenda kuzungumza nae
MWENYEKITI: Kijana
samahani tunaomba upunguze makelele ya kucheka tuna kikao muhimu sana ..samahani lkn.
basi baadaya dk 10 mlevi alionekana kutetemeka mpaka watu
wengine wakaogopa mwenyekiti alimfuata tena na kumuuliza..
M/KITI: kijana vipi mbona unatetemeka kwa nguvu namna
hiyo???
MLEVI: we si umenikataza kucheka kwa nguvu basi nimeamua
kuweka VIBRATION
No comments:
Post a Comment