Jamaa kashushwa porini akiwa UCHI baada ya kutekwa na majambazi..!ghafla akakutana na simba uso kwa macho.
Simba kumuona jamaa akatimua mbio kinomaa..!
Nyani aliyekuwa mbali kwenye mti alishuhudia show nzima, aliamua kumuuliza SIMBA
"mbona alitimua mbio mbele ya kitoweo."
Simba akajibu kwa upole...
"Ww nyani ulishawai wapi kumuona mnyama mwenyewe mkia mbele?"
No comments:
Post a Comment