Monday, July 16, 2012

USIOMBE USHAURI KWA WATOTO


Siku mtu na mkewe walikuwa wanabishana ni nani muoga
kuliko mwenziwe,mume anasema mke muoga na mke anasema
mume muoga ndipo walipoamua kuwauliza watoto wao ili wapate kujua nani muoga



Baba(akiwauliza watoto):

Naomba kuwauliza ni na nani kati ya mimi na Mama yako muoga zaidi??.



Mtoto 1 (akajibu):

 Mama muoga sababu anaogopa hata kujiangalia kwenye kioo


Mtoto 2(akimbishia wa kwanza):

 Baba ndio muoga zaidi maana anaogopa kulala peke yake kama siku Mama akiondoka anamuita huyu mwanamke wa jirani anakuja kulala nae.




Moral of the story: Dont ask/seek consultancy from children.

No comments:

Post a Comment