JAMAA:"Mpenzi wangu najua mimi sina pesa wala magari wala majumba ya kifahari kama rafiki yangu John lakini mi nakupenda kwa dhati na moyo wangu wote."
DEM:(akiongea kwa sauti ya mapenzi) "Kama wanipenda kweli darling nitambulishe kwa rafiki yako John."
No comments:
Post a Comment