Wednesday, July 11, 2012

VITENDAWILI BALAA....

Wakuvwanga kaagiza wenzie wa komedi watege vitendawili,


Mpoki akasema "kitendawili" 


Wakuvwanga akajibu ''tega" 


Mpoki akasema "NIVUE NGUO NIKUPE UTAMU..!" 


Wakuvwanga kwa hasira akasema 


"pumbavu mshenzi mlanisi wewe nani anakufundisha upuuzi huo?" 


Mpoki akajibu "oyaa  kama hujui si useme tu.! 


Jibu lake ni NDIZI"

No comments:

Post a Comment