Wednesday, July 18, 2012

nahama

Fundi jeneza alipata oda ya jeneza akawa anapeleka na gari njiani gari ikaharibika akaona alibebe kichwani. 


Njiani akakutana na wagambo akajua watataka rushwa, ikawa hivi 

Mgambo:WE UNAKWENDA WAPI NA JENEZA?

Fund:NILI ZIKWA KINONDONI ILA SIJAPAPENDA NAENDA MBEZI NIKAJIZIKE AU MNANISHAURIJE?


wagambo wote walitoka nduki

2 comments:

  1. THIS THINGS MAKES MA DAY THEY R SO COOL RENTOSH(KENYA)

    ReplyDelete