Wednesday, July 11, 2012

WAONYESHE KITAMBULISHO

Afisa mmoja kaenda kwenye shamba la miti kukagua, 


msimamizi akamwambia,


" Usiingie sasa hivi." 


Afisa akatoa kitambulisho cha kazi akamwambia 


''We nani wa kunizuia? Unaona kitambulisho?" 


Jamaa akamwambia pitaa we mtu mzito bwana. 


Kupita tuu akaanza kupiga makelele 


''Nyukii nakufaaaa, nyuki nisaidie'' 


Jamaa akamwambia huku akikimbia mbaali.., 


"Waonyeshe kitambulisho."

No comments:

Post a Comment