Tuesday, July 24, 2012

HUYU BIBI FULL AKILI

Kuna bibi mmoja alienda benk kufungua account lakini alivyofika benk akawa anataka aonane na manager kwanza....

Customer service wakamzuia wakidai boss yupo busy hataki kuonana na mtu kwa muda ule... Wakati mzozo unaendelea manager akatoka ofisin kwake, akamwita yule bibi amsaidie shida yake...

Bibi akaenda ofisini na manager, maongez yakawa hv..
.
MANAGER: "UnashIda gani bibi!?!"

BIBI: "Nataka kufungua account, niweke milion 30 zangu..."

MANAGER: "Mmmh!! Mbona unaonekana mzee sana, pesa zote umezitoa wap?!?

BIBI: "Nimezipata kwenye mchezo wa KUPINGA, hata wewe ukitaka tunaweza pinga tu!!!"

MANAGER: "Mmh, tunapingaje?!?"

BIBI: "Aaah, rahisi sana, mim naweka hizo milion 30 na wewe weka hizo hizo, mpaka kesho sa nne asubuh sehem zako za siri zitakua ngumu sana kama mawe... Zisipokua hivyo umenila zikiwa nimekula wewe..."

MANAGER: "Mmmh, sawa hamna shida...." 


Kesho yake asubuhi saa nne yule bibi alikuja na mzee mwingine pale benk...

Manager alivyomuona bibi akamwambia, 



"Bibi umeliwa!! Sehem zangu za siri zipo kama kawaida ..."

BIBI: "Sawa mjukuu wangu, sasa mimi nitaaminije bila kuzishika..?!?"

MANAGER: "Njoo tu uhakikishe bibi..."


Bibi akaenda akaanza kumshika yule manager nyeti zake... Wakati anamshika vile yule mzee aliekuja nae akawa ameshika kichwa huku anatukana tukana na machozi yakimlenga....

Manager akamuuliza bibi, "Vipi mbona yule mzee uliyekuja nae kawa vile....?!?"

Bibi akamjibu, 



"Aaah, yule nilipinga nae kwa milion 90 kuwa naweza kumshika manager wa benk sehemu zake za siri akabisha ndo nikapinga nae... So ndo kashaliwa pale.... anabwabwaja tu."




No comments:

Post a Comment