Wednesday, June 6, 2012

DEREVAAA....

Dereva kawaua watu 26...


akihojiwa na trafic..


 Askari:enhe ilikuaje ukagonga watu 26 na kuwasababishia vifo? 


Driver: kulia kulikua na m2 1 alafu kushoto walikua 25, kama ni wewe ndio driver ungefanyaje?


Trafik: ningemgonga wa kulia m1 na kuokoa wa kushoto 25 


driver: ehee sasa nlipotaka kumgonga wa kulia eti kakimbilia kushoto kwa wale 25 alidhani cjamwona nikamfwata kuko huko......



No comments:

Post a Comment