Saturday, June 9, 2012

NANI MJINGA??

Ivi ni nani Mjinga kati ya hawa watu wawili???

1.Anaye angalia vocha baada ya mazungumzo ya simu lakini kapigiwa simu au


2.Anaye punguza sauti ya redio ili asome SMS


No comments:

Post a Comment